Rnb staa Tinashe ameng'arisha jarida la paper kupitia picha kali alizopiga kama za msanii wa pop Britney alizozipiga mwaka 1999 kwa ajili ya jaribio la Rolling stone.
Tinashe ni miongoni mwa wasanii wakali wa rnb kwa sasa na anaelekea kutoa albam mpya yake ya pili ya Joyride
Comments
Post a Comment