Guardiola amemtaja staa wa Man City atakayekuwa nje ya uwanja kwa wiki 6
Guardiola ameweka wazi kuhusu wachezaji wake Sergio Aguero, Zabaleta na beki wake wa kati na nahodha wao Vincent Kompany, Guardiola ameweka wazi kuwa Kompany ambaye aliumia goti katika mchezo dhidi ya Crystal Palace uliomalizika kwa ushindi wa 2-1, atakuwa nje kwa wiki nne hadi sita.
Comments
Post a Comment