Kanye West asitisha show yake ya LA, saa chache baada ya kuikatisha ya Sacramento

Image result for kanye west
Show hiyo ya Jumapili, ilisitishwa walau saa tatu kabla ya kufanyika. Hadi sasa hakuna maelezo yaliyotolewa kutoka kwenye label ya Kanye wala promota wa show, Live Nation kuhusu sababu ya kufanyika hivyo.
Mashabiki waliokuwa wamenununua tiketi watarudishiwa fedha zao.
Kusitishwa kwa show hiyo kumekuja wakati ambapo Kanye ameingia kwenye headline kwa kuwadiss Jay Z na Beyonce.

Comments

Popular Posts