Tazama video mpya ya Justine Skye f/ Wizkid – U Don’t Know

Msanii wa Marekani kutoka lebo ya Roc Nation inayomilikiwa na Jay Z, Justine Skye ameachia video ya wimbo wake ‘U Don’t Know’ aliomshirikisha Wizkid. Tazama video hiyo hapa chini.

Comments

Popular Posts