Tazama video Mpya ya Navy Kenzo f/ Wildad- Feel Good

Wakijiandaa kuachia album yao ya kwanza ya kimataifa, Above In A Minute, Navy Kenzo wameachia videp ya ngoma yao mpya ‘Feel Good’ wakimshirikisha msanii wa The Industry, Wildad. Video imeongozwa na Justin Campos.

Comments