Tazama video mpya ya Otile Brown Ft. Barakah The Prince – Niseme Nawe

Msanii Otile Brown kutoka Kenya ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Niseme Nawe”, akiwa amemshirikisha msanii kutoka Tanzania Baraka The Prince. Video imeongozwa na Dr. Eddie.

Comments