Tazama video ya Darassa Ft Ben Pol – Muziki

Rapper Darassa baada ya kufanya vizuri na ngoma ya “Toomuch”, ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Muziki”, amemshirikisha Ben Pol. Video imeongozwa na Hanscana.

Comments

Popular Posts