Tazama Video ya M-Rap f/ Mayunga – It’s Not Too Late
Akiwa chini ya uongozi mpya wa Mukii International, M-Rap ameachia kazi yake mpya iitwayo ‘It’s Not Too Late’ aliyomshirikisha Mayunga. Wimbo umetayarishwa na Bob Manecky wa AM Records huku video ikiongozwa na Msafiri wa Kwetu Studios.
Comments
Post a Comment