Tazama video ya Rich Mavoko ft Diamond – Kokoro

Rich Mavoko ameachia video ya wimbo aliomshirikisha bosi wake, Diamond Platnumz ‘Kokoro.’ Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Abydad na Lizer. Itazame hapo chini.

Comments

Popular Posts