Tekno Miles amesaini deal na Sony Music

zxxx-2727Tekno Miles msanii kutokea Nigeria ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa, Tekno ambae ni mshindi wa tuzo ya MTV Africa Music Awards kama Best Breakthrough ActTekno ameingia tena kwenye headlines baada ya kusainiwa kwenye label  ya Sony ambayo inasimamia wasanii wakubwa duniani.

Pia Tekno alikuwa miongoni mwa wasanii kutokea Nigeria walioperform kwenye tamasha la Fiesta, November 5 2016 jijini Dar es Salaam akiwa na Yemi Alade , Unaweza kuitazama video nimekuwekea hapa chini wakati Tekno anasaini mkataba huo.

Comments

Popular Posts