Skip to main content
Rihanna aungana na Prince Harry wa Uingereza kwenye sherehe za uhuru
Jumatano hii muimbaji wa Marekani, Rihanna amekutana na Prince Harry wa Uingereza kwenye sherehe za uhuru wa miaka 50 ya Barbados.
Wawili hao walikutana mara mbili kwenye sherehe hiyo na kufanikiwa kukaa pamoja huku watu zaidi ya 20,000 walihudhuria kwenye sherehe hiyo.
Comments
Post a Comment