Tazama Video Mpya ya Nay wa Mitego-Sijiwezi

Image result for ney wa mitego
Baada ya nyimbo zake kadhaa zilizopita kuwa controversial, Nay wa Mitego ametuliza mpira kidogo na kuandika wimbo wa mapenzi, Sijiwezi. Umetayarishwa kwenye studio zake za Free Nation. Tazama hapo chini.

Comments