Tazama video Mpya ya Victoria Kimani Ft. Sarkodie – Giving You
Muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani, baada ya kuachia album yake ya kwanza iitwayo Safari, Jumapili iliyo pita, ameachia video mpya ya wimbo “Giving You”, ameamshirikisha rapper kutoka Ghana, Sarkodie.
Comments
Post a Comment