New Video: Young Killer & Stamina & Billnas – Aje Mwenyewe

Wasanii wa muziki wa hip hop Young Killer Msodoki, Billnass pamoja na Stamina wameachia video ya wimbo wao mpya wa pamoja uitwao ‘Aje Mwenyewe’. Video imeandaliwa na director Lucca kutoka kampuni ya Swahili na audio imeandaliwa na Kiri Rec.

Comments