VIDEO: Jinsi Rosa Ree Alivyofanyiwa Birthday Yake Akiwa na Mabosi Wake wa The Industry
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa msanii kutoka The Industry, Rosa Ree alifanyiwa Party yake April 7, 2017 akaalika watu mbalimbali.Itazame hii video hapa uone jinsi kilivyohappen kwenye Birthday Party hiyo.
Comments
Post a Comment