Video: Man Fongo – Safi Tu

Msanii Man Fongo baada ya kufanya vizuri na single za ‘Hainaga Ushemeji’ na ‘Kibaka’, ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Safu Tu’, tazama hapa chini alafu toa komenti kwa staa huyu wa muziki wa Sengeli. Video imeongozwa na Ivani.

Comments