Irene Uwoya athibitisha kuolewa na Dogo Janja

Mwigizaji wa Tanzania Irene Uwoya amethibitisha kwamba aliefunga nae ndoa ni Msanii wa Bongofleva Dogo Janja,  Irene kathibitisha na kusema “bado anatokwa machozi ya furaha“

Comments