Diamond Platnumz athibitisha kuwa na nyumba Afrika kusini
Diamond platnumz amethibitisha kuwa na nyumba Afrika kusini baada ya kuulizwa kwenye #Planet Bongo kuhusu kumiliki nyumba nje ya Tanzania kama wasanii wengine
Diamond alisema,,Nina nyumba south Africa kwa sababu nina familia south Africa .Kwahiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa,lakini nina sababu ya kusema ninunue nyumba marekani kwa sababu gani? Kwanza sipendi ,uongozi unajua kabisa.
Comments
Post a Comment