Ilikuaje Eve alivyokutana na Nicki minaj wakitengeneza filamu ya Last friday

Rapa Eve amefunguka kuhusa kufanya  kazi na nick minaj  katika utengenezaji wa filamu mpya ya friday na kusema kuwa ilikua powa sana.
   Eve alisema"Ilikuwa powa kufanya naye kazi,ni mtu  powa na nilifurahi kumuona akifanya jambo lingine ukiacha kuimba na kufanya kazi nzuri"
  Pia Eve ameongelea muziki wake na kusema atafanya  muda ukiwa sawa na kwamba  yuko tayari kufanya kazi na  kundi lake la Ruff Ryder muda wowote wakimuita.
Eve alimalizia kwa kusema yeye na mume wake Maximillion cooper wanajaribu kupata watoto kwa sasa.

Comments