Exclusive: Vanessa Mdee akata mzizi wa fitina kwa kinachosemwa kuhusu yeye na Trey Songz ‘Me and Jux are 100’

Image result for vanessa mdee na trey songz
Wiki iliyopita, Vanessa pamoja na wasanii wengine takriban 9 wa Afrika, waliingia studio na Trey Songz kurekodi wimbo kwaajili ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Afrika. Hata hivyo Trey alionekana kuwa karibu zaidi na Vee Money kiasi cha kuzusha tetesi kuwa huenda Jux akawa amesalitiwa.Anasema picha na video hizo zinatafsiriwa vibaya na kwamba yeye na Trey wamewahi kukutana kabla ya hapo na siku zote amekuwa karibu naye.vanessa mdee alisema;

“The video and pictures going around are misinterpreted, I worked for MTV and had met Trey before, we were cool then and are cool now,” amesisitiza.
“I respect him [Trey Songz], Juma and all our fans.”
<“Being a female artist in Africa, people are always waiting for any opportunity to tarnish ones image , and disregard years of handwork and success. Watch this space am about to give them more. Kazi tu,” ameongeza.

Comments

Popular Posts