Trailer ya Furious 8 (The Fate of the Furious) imetoka rasmi Jumapili hii. Filamu huyo inaonesha Charlize Theron akiingia kwa mara ya kwanza kama Cipher.
Members wengine ni pamoja na Vin Diesel, The Rock, Michelle Rodriguez, Tyrese Gibson, Ludacris, Lucas Black, Kurt Russell, Jason Statham, Elsa Pataky, na Nathalie Emmanuel. Filamu hii imeongozwa na F. Gary Gray na itaingia sokoni April 14.
Comments
Post a Comment