Nape amkabidhi Mwakyembe ofisi

Hatimaye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnaye amemkabidhi ofisi Dkt Harrison Mwakyembe ambaye ndiye waziri mpya wa wizara hiyo aliyeteuliwa wiki iliyopita. Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo asubuhi kwenye makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo mkoani Dodoma.

Comments