Rais Magufuli Afanya Utenguzi Wizara ya Nishati na Madini

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe March 26 2017 ambapo nafasi hiyo itajazwa baadae.

Comments