Video: Uwanja Shanghai Shenhua ulivyowaka moto Jumanne hii
Uwanja unaotumiwa na klabu ya soka tajiri katika ligi kuu ya China, Shanghai Shenhua ambao anachezea Carlos Tevez umeshika moto Jumanne hii.Hata hivyo moto huo ulifanikiwa kuzimwa mapema japo chanzo cha moto huo hakijafahamika zaidi. Tazama zaidi picha za tukio hilo hapa chini.
Comments
Post a Comment