Dogo Aslay kajinunulia gari... BMW

 Mwimbaji staa wa Bongofleva ambaye nyimbo zake zimekuwa zikipendwa sana na watu wa rika mbalimbali Dogo Aslay
leo ametuonyesha gari lake alilojinunulia aina ya BMW ambapo kwenye hiyo picha aliambatanisha shukrani zake nyingi kwa Management yake, kumshukuru Mungu na kumkumbuka Marehemu Mama yake.

Comments